KANUMBA CAKE,KAMA UNAVYO FAHAMU AYATI STEVEN KANUMBA ALIKUFA KATIKA PURUKUSHANI ZA MAPENZI,NIMEJARIBU KUDIZAINI CAKE YENYE VITUVIWILI ALIVYOKUWA AKIPENDELEA,KITU CHA KWANZA NI MOYO,CHA PILI NI MVINYO AINA YA JACK DANIEL,UWO MOYO NI WA KANUMBA AMBAO UMECHOMWA NAKITU CHENYE NCHA KALI NA KUTOWEKA DUNIANI. REST IN PEACE THE GREAT
No comments:
Post a Comment