ANAITWA WABOGOJO MZEE WA SMART COMEDY,ALIKUWA AKIZIONA CAKE ZANGU KIPINDI YUKO CHINA,AKUPENDA KUAMINI KAMA TANZANIA KUNA WAKALI WA CAKE,SIKU ALIYOREJEA KUTOKA CHINA MOJA KWA MOJA ALIKUJA MPAKA OFISINI KWANGU KUAKIKISHA JE,MIMI NI MKALI WA CAKE AU MANENO TU?...JIBU NDIO KAMA HILO ALIKULA CAKE MPAKA AKAKIMBIA.
No comments:
Post a Comment