Monday, December 26, 2011

NIKIWA NA TAYARISHA CAKE YA MCHORA KATUNI MASHUHURI HAPA TANZANIA CRIS-SHOLA (KISHOKA) NILITUMIA SAA MOJA NA NUSU KUTENGENEZA HII CAKE,KWA KUWA CRIS-SHOLA NI MCHORAJI WA KATUNI, KATIKA CAKE YAKE NIMEMUWEKEA BRASHI NA RANGI ZILIZOMWAGIKA WAKATI WA KUCHORA MCHORO,ASANTE MUNGU KWA KUNIJAALIA KIPAJI.


2 comments: