Friday, December 23, 2011

NILIWACHANGANYA SANA VICHWA HAWA WAZUNGU,WALIKUJA NA PICHA YAO YA GARI,AINA YA 1TEN NEW MODEL,NILIPO WATAJIA GARAMA YA CAKE ITAKUWA NIMILIONI MOJA NA NUSU HAWAKUSHTUKA.....MMOJA ALISEMA KWA KWA KINGEREZA MONEY SIO PROBLEAM JE, CAKE ITATOKA KAMA HILIVYO?....JIBU NILILOWAPA NIKAWAMBIA KAMA PESA SIO TATIZO HATA MIMI CAKE SIO TATIZO,NIKAWAJIBU KWA JOKS NIMESHINDWA KUTENGENEZA ROHO YA CAKE TU,HILA HIVI VITU VISIVYOSEMA HAVINIPI SHIDA! HII CAKE ILIKUWA NIKWAAJILI YA BIRTHDAY YA MKURUGENZI WA LAND-ROVER TANZANIA ALITIMIZA MIAKA 75.


No comments:

Post a Comment